Odemwingie akiwa ametumbukiza mpira nyavuni.
BAO pekee la mshambuliaji wa Stoke City, Peter Odemwingie katika mchezo wa kombe la dunia limeipa ushindi muhimu timu ya taifa ya Nigeria dhidi ya Bosnia.
Kwa matokeo hayo, Bosnia wameshaaga mashindano yao ya mara ya kwanza ya kombe la dunia
Bosnia walipoteza mechi ya ufunguzi kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Argentina.
Odemwingie (kushoto) akishangilia bao lake baada ya kupokea pasi kutoka kwa Emmanuel Emenike (kulia).
Odemwingie akipongezwa na wachezaji wenzake.
Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama zilizotolewa ni chini ya 10.
Kikosi cha Nigeria: Enyeama
7, Oshaniwa 6, Yobo 6, Omeruo 6, Ambrose 6, Onazi 7, Mikel 6,
Babatunde 6 (Uzoenyi 75), Musa 7 (Ambeobi 66 5) Odemwingie 8, Emenike 7
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Ejide, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Moses, Odunlami, Azeez, Nwofor, Uchebo, Agbim.
Kadi ya njano: Mikel
Mfungaji wa goli: Odemwingie
Kikosi cha Bosnia-Herzegovina:
Begovic 7, Mundza 6, Sunjic 6, Spahic 5, Lulic 6 (Salihovic 58 6),
Besic 7, Misimovic 6, Medunjanin 6 (Susic 64 5), Hajrovic 6 (Ibisevic 57
6), Pjanic 8, Dzeko 6
Subs not used: Fejzic, Vrsajevic, Bicakcic, Kolasinac, Vranjes, Ibricic, Visca, Hadzic, Avdukic.
Kadi ya njano: Medunjanin
Mwamuzi: Peter O'Leary (New Zealand)