Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

AIRTEL DIVAS WATOA MSAADA KWA WANAWAKE WASIOJIWEZA

$
0
0
Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kazi Services Ltd, Zuhura Muro (kushoto), huku akisaidiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, Happy John wakikata keki kuashiria uzinduzi rasmi wa kikundi hicho, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika uzinduzi huo, Airtel iliweza kukisadia Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA), kuuza bidhaa zao kwa bei ya juu na kupata pesa kwa ajili kulipia banda lao lililopo katika Uwanja wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba). Wanaoshuhudia ni wanachama wa Airtel Divas.
Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kazi Services Ltd, Zuhura Muro (wa pili kulia), akiangalia moja ya bidhaa zilizotengenezwa na Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA ) cha Kinondoni, kabla ya kuzindua rasmi Kikundi cha wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika uzinduzi huo, Airtel iliweza kuisadia SWAUTA, kuuza bidhaa zao kwa bei ya juu na kupata pesa kwa ajili kulipia banda lao lililopo katika Uwanja wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba). Kushoto ni mwanachama wa Swauta, Adelina Mluge.

Wanachama wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, wakichagua bidhaa zilizotengenezwa na kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA) cha Kinondoni, katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Airtel Divas, uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika uzinduzi huo, Airtel iliweza kuisadia SWAUTA, kuuza bidhaa zao kwa bei ya juu na kupata pesa kwa ajili kulipia banda lao lililopo katika Uwanja wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
 Mgeni rasmi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kazi Services Ltd, Zuhura Muro (kushoto), akijadiliana jambo na Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (kulia), baada ya kutembelea bidhaa zilizotengenezwa na Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA) cha Kinondoni, kabla ya kuzindua rasmi Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika uzinduzi huo, Airtel iliweza kuisadia SWAUTA, kuuza bidhaa zao kwa bei ya juu na kupata pesa kwa ajili kulipia banda lao lililopo katika Uwanja wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
Wanachama wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, wakilisakata rhumba, katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kikundi hicho, uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika uzinduzi huo, Airtel iliweza kukisadia Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA) cha Kinondoni, kuuza bidhaa zao kwa bei ya juu na kupata pesa kwa ajili kulipia banda lao lililopo katika Uwanja wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
Mgeni Rasmi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kazi Services Ltd, Zuhura Muro, akifurahia zawadi ya kitenge baada ya kukabidhiwa zawadi na Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Airtel, Adriana Liamba (kulia), katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Kikundi cha Wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Divas’, iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika uzinduzi huo, Airtel iliweza kukisadia Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA) cha Kinondoni, kuuza bidhaa zao kwa bei ya juu na kupata pesa kwa ajili kulipia banda lao lililopo katika Uwanja wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
Picha ya pamoja.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>