Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

WANAWAKE ACHENI KUKIMBILIA PETE: MKUU WA CHUO CHA MAPENZI, SETH GIOVANNI

$
0
0
Seth, Mkuu wa Chuo cha Mapenzi.
Yaani Wanawake kwa kupenda Pete dah, Mungu awasaidie. Mtu una ndoto zako maskini, kubwa tu, Mungu kakupa akili nzuri tu, ila anatokea mtu from nowhere, wala hata sio type yako, humpendi kiivyo, ila kisa kaja na Ring basi mnasisimka kama mmeguswa na Jini Subiani.

Akishakupa mpete wa bati akasema; 'Honey, nitakuoa', yaani mnakuwa kama mmepigwa nusu kaputi za Maternity Room, mnayeyuka kama Koni za Azam, unasahau kabisa kila ndoto uliyonayo, Unamkabidhi Tunutu alinde shamba la uwele!

Kuna girls wameolewa na watu wasio sahihi wameua ndoto zenu za kusoma, mlikuwa mnataka mjiendeleze jamaa halitaki, linakuuliza unasoma ili iweje?? Unataka unizidi kipato, Myopic Brained-husband! Na wengine wakiona tu umejaza fomu za Chuo Kikuu wanakulia timing wanakutundika mimba, ukiwaza kuweweseka na Kitumbo cha ujauzito na kufanya assignment za class, mwenyewe una-surrender, unaacha Elimu kisa pete, ujuha huo!

Girls, msiue ndoto zenu kisa umeahidiwa Pete na juha moja lisilotambua Priorities zako, kama anakupenda ataku-support positively on your plans, huyo ndiyo mume, kama umeplan kusoma, soma kwanza, pete zipo! Kama umeplan kujenga jenga kwanza usikimbilie ndoa utageuzwa Incubator kutotoa mfululizo na hata veranda hutamaliza... Pete ni mbati tu wa duara usiharibu akili zenu, Your dreams come first, Pete si uchonge hata mwenyewe kwa sonara Mwenge??? Wanaaume tumeshajua mnapenda sana pete, tunawavisha na tutawavisha sana hadi viunoni kama shanga, mnakuwa watumwa wetu kiulaini! WAKE UP

Mkuu wa Chuo cha Mapenzi-
Seth Giovanni

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>