Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

KOMBE LA DUNIA 2014: UHOLANZI WAICHABANGA HISPANIA 5-1... ROBBEN VAN PERSIE AFANYA MAKUBWA!

$
0
0
Dutch destroyers: Robin van Persie embraces Arjen Robben on a superb night for Holland
Mharibifu: Robin van Persie akimkumbatia  Arjen Robben baada ya kufanya makubwa usiku huu. 
Heading into the net: Robin van Persie hurls himself through the air to score a superb equaliser
Kichwa cha historia: Robin van Persie akifunga goli kwa kupiga kichwa matata na kuisawazishia Uholanzi.
Calamitous error: Van Persie robs Iker Casillas to poke home Holland's fourth goal
Kosa kubwa la mlinda mlango: Van Persie akimpoka Iker Casillas mpira na kufunga bao la nne.
Can't believe it: Casillas looks downcast as the Holland players celebrate Van Persie's goal
Haamini: Casillas akitafakari baada ya kufungisha bao la nne, huku wachezaji wa Uholanzi wakishingilia bao hilo la  Van Persie

Vikosi na viwango vya wachezaji katika mchezo wa leo kwa mujibu wa Joe Callaghan ambaye yupo mjini Sao Paulo. Alama zilizotumika ni 10.


Kikosi cha Hispania:
Casillas 5, Azpilicueta 6.5, Sergio Ramos 5.5, Pique 5.5, Jordi Alba 7,

Alonso 7.5 (Pedro 63), Xavi 7, Busquets 6, Silva 7.5, Diego Costa 7 
(Torres 62), Iniesta 7.

Wachezaji wa Akiba: De Gea, Albiol, Javi Martinez, Juanfran, Villa, Fabregas, Mata, Koke, Cazorla, Reina.


Kikosi cha Uholanzi:
Cillessen 7, Janmaat 6, Vlaar 7.5, De Vrij 7, Martins Indi 6.5, Blind 7, de Guzman 6, Sneijder 6, De Jong 6.5, Van Persie 8, Robben 8.


Wachezaji wa akiba: Vorm, Verhaegh, Veltman, Kongolo, Kuyt, Clasie, Lens, Fer, Huntelaar, Wijnaldum, Depay, Krul.

Mwamuzi: Nicola Rizzoli (Italia)

Mchezaji bora wa mechi: Robin van Persie na Arjen Robben


Mabao yote ya Uholanzi yalikuwa ya ajabu. Yote yalitengenezwa  kwa pasi murua kutoka wingi ya kushoto kutokea kwa Daley Blind na pasi zilimaliziwa kwa ufundi tofauti na wachezaji  Robin van Persie na Arjen Robben.

Magoli manne yalitokana na makosa ya mlinda mlango Iker Casillas. Kuelekea mechi ijayo itakayochezwa wiki ijayo ambayo Hispania wanahitaji ushindi- kuna hoja kuwa kipa wa Manchester United, David de Gea anaweza kumbadili mlinda mlango huyo mkubwa wa Hispania.
Bunch of fives: Robben (left) slams home Holland's fifth goal in their stunning victory
Bao la tano: Robben (kushoto) akiifungia Uholanzi bao la tano.
Stefan de Vrij (left) bundles the ball in at the back post for Holland's third goal
Stefan de Vrij (kushoto) akiifungia Uholanzi bao la tatu.
Turning him inside out: Arjen Robben gets past Gerard Pique after taking the ball down superbly
Hapa anageuzwa: Arjen Robben akimpiga chenga  Gerard Pique
Finish: Sergio Ramos can't close down Robben, who strikes the ball with his left foot
Sergio Ramos alishindwa kumzuia Robben, aliyepiga mpira na mguu wake wa kushoto na kuandika bao.
Net gain: Iker Casillas (right) is sent the wrong way as the ball goes into the goal
 Iker Casillas (kulia) alipelekwa sokoni
Happy Holland: Louis van Gaal high fives Van Persie after the forward's brilliant equaliser
Louis van Gaal akimpa tano Van Persie baada ya kufunga bao kusawazisha.
Shut up: Diego Costa gestures to the Salvador crowd, who barracked him throughout the match
Fungeni midomo: Diego Costa akiwanyooshea kidole mashabiki wa Salvador ambao walimzomea dakika zote alipokuwa uwanjani.
On the way down: Costa is tripped by Stefan de Vrij and the referee pointed to the spot
Costa aliangushwa na Stefan de Vrij na mwamuzi kuamuru mkwaju wa penati
Spot on: Xabi Alonso rolls his penalty to the right of Jasper Cillessen and into the corner
Xabi Alonso alifunga penati hiyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>