Mbunge wa Kigoma, Mh. Zitto Kabwe akiwa na majonzi makubwa wakati mwili wa mama yake mzazi ulipowasili tayari kwa kufanyiwa dua ili waendelee na maziko yaliyofayika Mjini Kigoma.
Mbunge wa Kigoma, Mh. Zitto Kabwe akisalimiana na watu waliokuja kumpa pole.
Mwili wa marehemu ukiwa umewasili nyumbani tayari kwa kuagwa na kusomewa dua.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mwili wa marehemu ukishushwa kwenye gari nyumbani na kusomewa dua.