Rais Kikwete, akisalimiana na wachezaji wakati akikagua timu hizo kabla ya kuanza kwa mchezo wa soka kati ya Four Seasons Safari Lodge na Serena, uliochezwa jana jioni wakati wa sikukuu ya Krismasi.
Hureeeeeeeee.......!!!! Serena wakishangilia penati ya mwisho iliyowapa ubingwa baada ya kuwashinda Four Seasons safari Lodge kwa matuta.
Mabingwa wa Kombe la Ujirani Timu ya hoteli ya Seronera wakifurahia ushindi baada ya kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo. Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikagua timu ya hoteli ya Serena kabla ya kucheza na hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya Serena kabla ya kucheza na hoteli ya Four Seasons safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. leo hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Nahodha wa hoteli ya Seroneram Jamali Kitonga akifurahia baada ya kukabidhiwa kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya Kikwete baada ya timu yake kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli ya Seronera Jamali Kitonga kombe la Ujirani mwema baada ya timu hiyo kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara leo Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Seronera walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao
Mashabiki wa timu hizo mbili wakicharurana wakati mchezo unaendelea
Wadau wakishuhudia mpambano huo