Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

ADHA YA MVUA JIJINI DAR ES SALAAM NI BALAA

$
0
0
Duh! Adha ya mvua jijini Dar es Salaam ni balaa. Wengine wanaomba iendelee kunyesha ili tuheshimiane town. Mvua inapiga, barabara zimejaa maji. Bajaj imembeba mjamzito ikimpeleka hospitali kwa bahati mbaya imezima! Chezea maji wewe! Amewasha weee kitu kimegoma, kimekunywa maji. Nikajisemea, huyo mama kwa bahati mbaya akitaka kujifungua hapo mtoto wake amekuja na jina lake. Aidha amuite Mvua au Bajaj. Msiniulize kimeendeleaje, maana na mimi nilikimbia mafuriko. Nisije kuzima kama hiyo bajaj bure! 

Imetoka kwa Kambi Mbwana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles