KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI, CHARLES CHACHA AKIZUNGUMZA KATIKA MKUTANO HUO KUSHOTO NI MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU WA WIZARA YA UCHUKUZI, ISSA NCHASI KULIA NI KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA, MONICA KINALA.
MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU WA WIZARA YA UCHUKUZI,ISSA NCHASI AKIZUNGUMZA LEO WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA NCHINI,KATIKATI NI KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE, CHARLES CHACHA NA KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA, MONICA KINALA AMBAYE ALIMUWAKILISHA MKUU WA MKOA WA TANGA, LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA.
KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA, MONICA KINALA AKITOA HOTUBA YAKE LEO WAKATI AKIFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA LEO KWENYE UKUMBI WA HOTEL YA TANGA BEACH RESORT.
WAJUMBE WA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA NCHINI.
KATIKATI NI KAIMU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE NCHINI, CHARLES CHACHA KUSHOTO NI KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA, MONICA KINALA AMBAYE ALIMUWAKILISHA MKUU WA MKOA WA TANGA, LUTENI MSTAAFU CHIKU GALLAWA WA KWANZA NI MKURUGENZI WA UTAWALA NA RASILIMALI WATU WA WIZARA YA UCHUKUZI, ISSA NCHASI WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAJUMBE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA NCHINI.