
Katika tukio hilo lililosababisha usumbufu mkubwa kwa abiria na msururu wa magari kushindwa kupita katika eneo la ajali kutokana na moto mkubwa uliochanganyika na moshi, hata hivyo baada ya moto kupungua kiasi askari wa usalama barabarani waliamuru magari yaanze kupitia pembeni mwa barabara ili kuendelea. Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa katika tukio hilo. (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SHELUI-SINGIDA) ![5]()
![4]()
![3]()
![2]()
![1]()
Msururu wa magari ukiwa mkubwa katika eneo hilo baada ya kushindwa kupita kutokana na moto mkubwa.
Wananchi na wasafiri mbalimbali wakitoka kuangalia tukio hilo.
Askari wa usalama barabarani akihakikisha mambo yanakwenda sawa ikiwa na kuangalia usalama unaimarishwa katika eneo hilo.







