Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

KAMPUNI YA BG TANZANIA YASHIRIKI MAONYESHO YA KILELE CHA SIKU YA MALARIA DUNIANI, DAR

$
0
0
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (kwanza kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mshauri wa Afya Mahali pa Kazi wa kampuni ya BG Tanzania, Dokta Gerald Lenjima (aliyenyoosha mkono) mara baada ya kufika katika banda la kampuni ya BG Tanzania, ambapo aliweza kuelezwa jinsi kampuni hiyo inavyoshiriki katika mapambano dhidi ya malaria kwa kuisaidia jamii na wafanyakazi wake wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, jijini Dar es Salaam wishoni mwa wiki iliyopita. Pembeni kulia ni Mshauri wa Afya Mahali pa Kazi wa Kampuni ya BG Tanzania, Dokta John Wijnberg.
 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (kwanza kushoto) akifafanuliwa jambo na Mshauri wa Afya Mahali pa Kazi wa kampuni ya BG Tanzania, Dokta Gerald Lenjima (kulia) mara baada ya kufika katika banda la kampuni ya BG Tanzania wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani, jijini Dar es Salaam wishoni mwa wiki iliyopita. Pembeni kulia ni Mshauri wa Afya Mahali pa Kazi wa Kampuni ya BG Tanzania, Dokta John Wijnberg.

  Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (kwanza kushoto) akisalimiana na Mshauri wa Afya Mahali pa Kazi wa Kampuni ya BG Tanzania, Dokta John Wijnberg (kwanza kulia). Katikati ni Mshauri wa Afya Mahali pa Kazi wa kampuni ya BG Tanzania, Dokta Gerald Lenjima.
 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (kwanza kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Idara ya Afya, Usalama, Mazingira na Ulinzi wa Kampuni ya BG Tanzania, Bw. Stevenson Murray.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (kulia) akimkabidhi Mshauri wa Afya Mahali pa Kazi wa Kampuni ya BG Tanzania, Dokta John Wijnberg cheti cha shukrani kwa mchango wao wa kupambana na Malaria nchini Tanzania. anayepiga makofi katikati ni Balozi wa Malaria nchini, Leodgar Tenga.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa taasisi mbalimbali zinazoshirikiana na serikali katika mapambano dhidi ya Malaria nchini. Mstari wa Nyuma kushoto ni Mshauri wa Afya Mahali pa Kazi wa Kampuni ya BG Tanzania, Dokta John Wijnberg. Mstari wa mbele kutoka kulia ni Athuman Mfutakamba, Waziri Dk. Rashid  Balozi wa Malaria nchini, Leodgar Tenga na Meneja Mkuu wa Mawasiliano wa Zantel, Awaichi Mawalla.
---
Kampuni ya BG Tanzania, wamejipanga kusimamia vyema usalama wa wafanyakazi mahali pa kazi kwa kuwapa elimu na kuwapa vifaa zaidi vya kujikinga na Malaria.

Hayo yalibainishwa na Mshauri wa Afya Mahali pa Kazi wa kampuni hiyo, Dokta Gerald Lenjima wakati akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea banda la BG Tanzania katika kilele cha maonyesho ya maadhimisho ya siku ya malaria duniani, yaliyofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>