Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19760

MHE. ANGELLAH KAIRUKI (MB), NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, ASIMIKWA KUWA KAMANDA WA UVCCM WILAYA YA SAME

$
0
0
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM, Ndg.Sixtus Mapunda akimkabidhiMhe. Angellah Kairuki (MB), Naibu Waziri wa Katibana Sheria, nyenzo za vitendea kazi za kimila wakati wakusimikwa kuwa Kamanda wa UVCCM wa Wilaya ya Same.
Katibu Mkuu wa Umojawa Vijana (UVCCM), Ndg. Sixtus Mapunda akimweleza majukumu ya Kamanda wa Vijana Mhe. Angellah Kairuki kabla ya kusimikwa kuwa Kamanda wa UV CCM wa Wilaya ya Same.
Mhe. Kairuki akila kiapo cha Kamanda Mpya wa UVCCM wa Wilaya ya Same wakati wa kusimikwa kwake kuwa kamanda wa umoja hu huku akisikilizwa kwa makini na viongozi wa CCM wa Mkoa wa Kilimanjanro na Wilaya ya Same waliokuwepo katika sherehe hizo.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Same wakimvalisha mgolole Mhe. Angellah Kairuki kuashiria kwamba amsimikwa rasmi kuwa Kamanda wa UVCCM wa Wilaya ya Same.
Kamanda Mpya wa UVCCM wa Wilaya ya Same, Mhe. Kairuki akiwa katika picha ya pamoja viongozi wa CCM na baadhi ya wawakilishi wa Timu mbalimbali za Wilaya ya Same waliopokea zawadi za jezi na mipira kutoka kwake mara baara ya kuapishwa kuwa Kamanda wa CCM Wilaya ya Same.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19760

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>