
Mashuhuda wa tukio hilo wakizungumza na Kajunason Blog mara baada ya kufika walisema kuwa waliona watu wakikimbia ovyo baada ya kutanda kwa moshi mkali na baadae waliona moto ukizuka ila inaonekana chanzo cha ajali hiyo ni hitrafu ya umeme kwenye gari hilo.
Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyefariki wala kujeruhiwa.
Mabaki ya gari hiyo...
Muonekanao wa gari hilo kwa nyuma.
Mashuhuda wa ajali hiyo wakiwa eneo la tukio.