MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA KWENYE NDANI YA MAKAZI YAKE.
WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA.
KUTOKA KUSHOTO KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MARA POUL KASABAGO,M NEC WA CCM CHRISTOPHER GACHUMA, M NEC WA BUNDA CCM.
MWENYEKITI WA BAKWATA MUSOMA MJINI AKIWA NA ASKOFU MSONGANZILA WA KANISA KATORIKI.
RAIS WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KENETH SIMBEYA AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI.
MTOTO WA MAREHEMU AITWAYE GABRIEL JOHN TUPA AKITOA SHUKURANI.
MJANE WA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALIKUWA MMOJA WA WAOMBOLEZAJI.
AKIAGA MWILI.
MKURUGENZI WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA ABUBAKAR KARSAN
MWENYE MIWANI HUKU NYUMA YAKE NI MADARAKA NYERERE NAO WAKIAGA MWILI.
WANAFUNZI WA SHULE PIA WALIHUDHULIA.
MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA LIKIWA KWENYE GARI MAALUMU UKITOKA KWENYE MAKAZI YAKE KWENDA KANISANI
MWILI UMEPOKELEWA LANGO KUU LA KANISA KATORIKI
MKE WA JOHN TUPA WA PILI KUTOKA KUSHOTO AKIWA NA WANAFAMILIA KANISANI
---
MAELFU ya wananchi wa mkoa wa Mara pamoja na mikoa jirani wakiongozwa na viongozi wa Serikali, Dini na vyama vya Siasa wameuaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara John Gabriel Tupa aliyefariki juzi asubuhi akiwa wilayaniTarime kwa shughuli za kikazi.
Akitoa salamu za rambirambi za Serikali mkoani Mara,Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Mara Bartazal Kichindaalisema walipokea kwa masikitiko makubwa msiba wa ghafla wa mkuu wa mkoa wa Mara John Gabriel Tupa kwa kuwa msiba huo umekuja wakati mchango na usaidizi wa kiongozi huyo ukiwa unahitajika zaidi mkoani Mara.
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA SHOMARI BINDA.