$ 0 0 Baada ya pita pita za Kajunason Blog katika viunga vya jiji la Dar es Salaam mitaa ya Jangwani imekutana na tukio hili, na kujiuliza ni nani wa kulaumiwa? Ni wajenzi wa barabara ambao hawajaweka alama za barabani au ni haraka za madereva?