
Akizungumza katika ukumbi wa mikutano wa habari Maelezo jijini Dar es Salaam alisema kuwa anamshukuru mheshimiwa Kikwete kuwa nae bega kwa bega toka mwaka 2005 hadi sasa 2014.
Ambapo rais ameweza kumshughulikia kwa matibabu hospitali tofauti tofauti mpaka sasa ameweza kutibiwa na anasomeshwa.