ZAIDI YA ABIRIA 40 WALIOKUWEMO KWENYE BASI LA NEW FORCE WAMEPONA KUFA BAADA YA KUGONGANA NA ROLI AINA YA FUSO MAENEO YA PIPE LINE INYALA Â BASI LA NEW FORCE LILIKUWALINATOKEA MBEYA KUELEKEA DSMÂ |
Hili roli aina ya fuso ndilo lililosababisha ajali hiyo kwani lilikuwa lilikuwalinalipita gari lingine bila ya kuangalia kama gari nyingine inashuka mlima na ndipo lilipokutana na basi hilo |
Hii ndiyo hali halisi ya ajali hiyo dreva wa fuso kakimbia baada ya kusababisha ajali hiyo |
Mtoto Samwelli akisimulia jinsi ajali hiyo ilivyotokea kwani yeye alikuwa nyuma ya dereva  amesema yeye mkanda ndiyo uliomuokoa kwani mama aliyekuwa jirani yake hakufunga mkanda ameumia vibaya sana |
Badhi ya abilia waliokuwa kwenye basi hilo wakisubiri usafiri mwingine toka katika kampuni ya new force |
Baadhi ya mjeruhi hao wameruhusiwa baada ya kupata matibabu |