Mama Flora Mtegoa, mzazi wa muigizaji Marehemu Steven Kanumba, akionekana mwingi wa furaha leo baada ya kukutana uso kwa uso na wasanii wa nyumbani Bukoba leo kwenye Fukwe za Kiroyera ziwa Victoria. Wasanii hao pamoja na kukutana na Mama Kanumba walikuwa kwenye matayarisho ya Uzinduzi wa Filamu yao mpya.
↧
MAMA KANUMBA APOKELEWA VYEMA NA WASANII WA BUKOBA
↧