Katibu Mkuu wa wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto Bibi Anna Maembe akimkaribisha rasmi Mhe. Pindi Chana katika Makao Makuu ya Wizara hiyo leo asubuhi.
Aahidi kutekeleza Majukumu ya wizara ya Jamii Jinsia na watoto ipasavyo, hasa katika elimu kwa Umma kuhusu haki, usawa na ushirikishwaji wa Watoto na Wanawake.
Picha na Hassan I. Mabuye, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.