Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19772

MWANANGU ALVIN CATHBERT ABATIZWA, ARUSHA

 Leo ilikuwa ni siku pekee ya Mtoto wetu Alvin Cathbert alipobatizwa na kuhesabiwa kuwa ni mkristo mpya. Alvin akiwa ametokelezea staili ya Suspenda, alibatizwa katika kanisa la Mt. Jacob Mtume, Balaa-Moshono, Arusha. Pichani ni Mama yake Ester Ulaya Cathbert akiwa amembeba Alvin.
 Alvin akiwa katika pozi.
 Kanisani; Alvin akiwa amebebwa na baba yake wa Ubatizo, Bw. Deogratius Mosha huku nyuma yake mama yake Alvin... Ester Ulaya Cathbert.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
 Paroko Syril wa Kanisa la Mt. Jacob Mtume, Baraa-Moshono, Arusha akimbatiza Alvin.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
  Paroko Syril wa Kanisa la Mt. Jacob Mtume, Baraa-Moshono, Arusha akimbatiza Alvin.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Msimamizi wa Ubatizo wa Alvin, Bw. Deogratius Mosha akiwa na Mama Alvin.
mm
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Paroko Syril wa Kanisa la Mt. Jacob Mtume, Baraa-Moshono, Arusha akiendeleza ibada.
Mama na Mwana wakishow love...
Baba, Mwana na Mama wakiwa katika picha  ya pamoja...
Mama Alvin akiwa na wifi yake Aneth pamoja na Alvin 'The Don'
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Baba na Mama Alvin wakiwa pamoja na msimamizi.


 Paroko Syril wa Kanisa la Mt. Jacob Mtume, Baraa-Moshono, Arusha akiwa na Alvin.
Alvin akiwa na bibi yake...
Alvin akiwa na mama na bibi yake...
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Baba na Mama Alvin wakiwa na bibi yake (aliyembeba Alvin.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19772

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>