Wakazi wa jiji la Mwanza wamezidi kujipatia elimu ya ujasiriamali, vitabu na CD za Eric Shigongo na James Mwang'amba katika Tamasha kubwa la Ujasiriamali lililofanyika jijini Mwanza. Tamasha hilo lilianza Ijumaa na kumalizika siku ya jumapili ambapo walimu wa ujasiriamali Shigongo na Mwang'amba wametoa mbinu kwa watu wa Mwanza jinsi ya kuwa wajasiariamali mahiri kampuni ya simu za mkononi Tigo walikuwa wadhamini.
↧
TIGO YADHAMINI TAMASHA LA UJASIRIAMALI JIJINI MWANZA MWISHONI MWA WIKI
↧