Wanachama wa Kikundi cha Kataa Unene Family wakiwa na wadau katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mbio za Uhuru zilizofanyika leo Viwanja vya Leaders Club jijini Dar ambapo jirani zetu Wakenya waliweza kujinyakulia medali nyingi tofauti na Watanzania jambo ambalo limeonyesha kutoleta uwiano mzuri na wadau kuhoji kulikoni wenzetu waje na kubeba zawadi zetu??
Msimamizi wa Mbio hizo Selemani Nyambui akitoa maelekezo kwa washiriki.
Mmiliki wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo (wa kwanza kulia) nae alipataa wasaa wa kunyoosha viungo kama baada ya kukimbia Km 5 katika mbio za uhuru 2013.
...hayaaaa twendeeeee
Nikiwa na kiongozi wakikundi cha kataa unene family, Angela Msangi amabaye pia ni mwandishi na mtangazaji wa TBC 1 mara baada ya kukamilisha kukimbia km 5.
Hayaaaaaa ...
Washiriki wakiingia kwa mbwembwe...
Hatimaye wakamaliza...
Kiongozi wakikundi cha kataa unene family, Angela Msangi amabaye pia ni mwandishi na mtangazaji wa TBC 1 akizungumza na meya wa manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda.
Wanachama wa kikundi cha kataa unene family, wakiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo, Bi. Fenella Mkangala.