$ 0 0 Kamera ilikamata picha hii mnamo mwaka jana... Hebu ona askari hao walivyobebana, laiti ingekuwa ni raia wa kawaida ndiyo mmebebana hivi hawa, jamaa wangesimamisha. Ila siku zote tunasema anayesimamia sheria ndiye huwa anazivunja.