Maisha ya DAR tunayajua wenyewe jamani!
hongera walio "SHAMBA" Ambako wanachinja "KUKU" Na Kuliwa Nyumba Hiyo Hiyo!
Hapa Dar "KUKU" Anachinjwa "KISUTU"
Shingo Inaliwa "KINONDONI"
Kibawa kinaliwa "MANZESE"
Kidari "TABATA
Paja "OYSTERBAY"
Firigisi "MASAKI"
Miguu "MBAGALA"
Mbavu "MIKOCHENI"
Utumbo "TANDIKA"
Kichwa "TANDALE"
Mgongo "MWENGE"
Ngozi "KEKO"
CHEZEA DAR WEWE, MSOSI WETU KAMA MGAO WA UMEME