Adoh Mapunda Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa akipokea vifaa maalum vya kuhifadhia fedha na nyaraka mbalimbali kutoka kwa Balozi Ali Mchumo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakati wa uzinduzi wa Huduma za Bimaya Afya (CHF)katika halmashauri hiyo uliofanyika jana kwenye viwanja vya Mkapa Garden Mjini Kilwa, wa pili kulia anayeshuhudia tukio hilo ni Kaimu Mkurugenzi wa (NHIF) Khamis Mdee na kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF), Athuman Rehani na Fortunata Raymond Msimamizi wa NHIF mkoani Lindi.wananchi mbalimbali wakiwemo wazee walijitokeza katika zoezi la upimaji wa afya yakiwemo magonjwa ya Kisukari, Shinikizo la Damu ikiwani pamoja na kupima Uzito Urefu. PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-KILWAAdo Mapunda Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma za Bima ya Afya katika Halmashauri ya wilaya ya Kilwa jana kulia ni Bw. Khamis Mdee Kaimu Mkurugenzi NHIF na kushoto ni Dr. Hilda Mwakipesile kutoka NHIFBaadhi ya wazee wakisubiri kupata huduma ya upimaji wa afya zao katika viwanja vya Mkapa Garden mjini Kilwa janaMwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi Ali Mchumo akipata huduma ya vipimo kutoka kwa mmoja wa madaktari wa NHIF jana anayeshuhudia ni mama Fatma Said Ali Mke wa Balozi Ali MchumoMkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda akipima urefu na Dr. Hilda Mwakipesile kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi Ali Mchumo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda akikabidhi kadi ya bima ya afya CHF iliyolipiwa miaka miwili kwa Aziza Said Abas Mshindi wa shindano la kukuna naziMshindi wa shindano la kukuna nazi Aziza Abas akipongezwa na Fortunata Raymond Msimamizi wa NHIF Mkoani Lindi pamoja na wenzake mara baada ya kushinda katika shindano la kukuna nazi jana.Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF Bw. Khamis Mdee akimpongeza Aziza Abas mara baada ya kushinda katika shindano la kukuna nazi Akina mama wakichuano vikali kukuna nazi ilikuwa si mchezoMkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda akizungumza katika uzinduzi huo wanaomsikiliza ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi Ali Mchumo wa tatu kutoka kushoto, Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Khamis Mdee na mwisho ni Mama Fatma Said Ali.Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi Ali Mchumo akizungumza na wananchi katika uzinduzi huo kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Khamis MdeeKaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Khamis Mdee akizungumza na wananchi katika uzinduzi huo katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi Ali Mchumo kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda na kushoto ni mama Fatma Said AliAthman Rehani Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) akiwatambulisha madaktari waliokuwa wakichukua vipimo katika zoezi hiloMkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) akizungumza na wananchiFortunata Raymond Msimamizi wa NHIF Mkoani lindi akizungumza na Paul Marenga Ofisa Mwandamizi wa NHIF mkoani Lindi.Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mfuko wa taifa wa Bima ya Afya NHIF Balozi Ali Mchumo akikabidhi ubani wa shilingi 100.000 kwa mzee Yusf Abdalla ambaye alifiwa na mwanafamilia jirani kabisa na viwanja vya Mkapa Garden mjini Kilwa ambapo ndipo palipofanyika uzinduzi wa huduma za Bima ya Afya wilayani huoAfisa Mawasiliano wa NHIF Bw. Ruhende Singu akiwatambulisha wachekeshaji Abdallah Salum Kulia Shoti na Rashid Omary. Wachekeshaji Abdallah Salum Kulia Shoti na Rashid Omary wakifanya vitu vyao Kikundi cha ngoma cha mjini Kilwa kikitumbuiza katika uzinduzi huo
↧