$ 0 0 Image may be NSFW. Clik here to view. Ukistaajabu ya Musa Utaona ya Filauni, hii ni staili mpya ya uuzaji wa mbwa jijini Arusha. Kama unavyomuona jamaa ameamua kumbeba mgongoni Mbwa wake ambaye yupo sokoni.