Mtoto wa Mama Anna Daffa mkazi wa Manundu kati Korogwe, anaomba kupatiwa msaada wa matibabu ya mtoto wake ambaye amejifungua akiwa na ulemavu wa miguu kama unavyomuona.
Anna Daffa mkazi wa Manundu Korogwe kati akiwa amemshikiria mtoto wake ambaye ni mlemavu wa miguu. Mama huyu anaomba msaada kwa wasamalia wema ili aweze kunusuru afya ya mtoto wake. Unaweza kuwasiliana na mama huyu kwa namba 0657885348. Tunawashukuru wote watakaoguswa na tatizo hili.