Sina maelezo mengi, kila kitu kinaonekana chenyewe... picha hii ilipigwa hivi karibuni Shule ya msingi ya Ibiri, Wilaya ya Uyui, Tabora na mwandishi wa Kajunason Blog baada ya kutembelea shuleni hapo na kukuta hayo majanga ya wanafunzi kusomea chini ya mti.