$ 0 0 Moja ya usafiri maarufu unaotumiwa na wakazi wa mji wa Shinyanga ni Baiskeli ambazo wao wamezigeuza kuwa ni kitega uchumi chao kwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria (daladala). Pichani wanaoneka vijana wakisubiri abiria.