Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19815

MAMA YAKE PROFESA J KUZIKWA KESHO 'JUMAPILI' MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR

$
0
0
 Msanii wa muziki wa bongfleva Juma Nature akisalimia na kumpa pole msanii mwenzake Profesa J ambaye amefiwa na mama yake mzazi. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa inasema kuwa maziko ya mama yake Profesa J yatafanyika kesho majira ya saa kumi jioni katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakiwa katika majonzi.
Profesa J akiwa na waombolezaji ambao walikuja kumfariji.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19815

Trending Articles