BEATUS MUSSA KIGANGA
Imetimia miaka 13 tangu ututoke ghafla siku ya tarehe 04 Julai 2000 wakati bado tulikuwa tunakuhitaji. Ingawaje kimwili umetutoka, kiroho bado tunakukumbuka.
Unakumbukwa na mke wako ABIAH LUCAS KIGANGA
watoto wako VENERADA, FRANCIS, RACHEAL, SALOME, MUSSA , LUCAS na wajukuu wako, ndugu, jamaa na marafiki zako.
Tunakukumbuka siku zote kwa upendo wako, mawazo yako yaliyojaa busara, ukarimu na malezi bora.
Tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi. Tunamwomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi
Amina.
2 Wakorintho 9:11 Atawafanya kuwa matajiri kwa kila hali ili mpate kuwa wakarimu kila wakati na kwa mchango wenu wa hiari kupitia kwetu, wengi wapate kumshukuru Mungu.