Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

SEMINA YA WASTAHIKI MEYA, WENYEVITI WA HAMASHAURI, WENYEVITI WA KAMATI ZA UKAGUZI NA WAKAGUZI WA NDANI WA HALMASHAURI ZA MAJIJI, MANISPAA, WILAYA NA MIJI KANDA YA KASKAZINI YAFANYIKA MKOANI ARUSHA

$
0
0
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Bw. Mwanga Ekzaudi ambaye ndio alikuwa mgeni rasmi katika Semina hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Mkaguzi wa Ndani Mkuu Msaidizi wa Serikali Bw. Constantine Mashoko akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi Bw. Constantine Mashoko, Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Bw. Mwanga Ekzaudi na Mkaguzi wa ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi (Uhakiki wa ubora wa ukaguzi wa ndani) Bw. Chotto Sendo wakisikiliza hoja za wadau wa ukaguzi wa ndani hawamo pichani.
Watoa mada katika semina hiyo, kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Ndani Chuo Kikuu cha Mzumbe Bw. Barikiel Nkinda, Mkaguzi Mkuu wa Ndani Tume ya Pamoja ya Fedha Bw. Cassim Mambo na Mkaguzi Mkuu wa Ndani Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) Bw. Alphonce Muro.
Wadau wa Semina hii wakisikiliza kwa makini hoja zilizokuwa zinatolewa
Mkaguzi Mkuu Mwandamizi Manispaa ya Moshi Bw. Raphael Mseja ambae ni mjumbe wa semina hiyo katika mahojiano na waandishi wa habari.
Baadhi ya Sekretarieti ya maandalizi ya mkutano huo wakifanya mapitio ya mada ambazo ziliwasilishwa katika semina hiyo kutoka kushoto ni Bw. Elikira Mathew, Bi. Lightness Mality pamoja na Bi. Wapheba Setembo.
Sekretarieti katika picha ya pamoja na mgeni rasmi katika semina hiyo.
Baadhi ya wajumbe walioshiriki kwenye semina hiyo katika picha ya pamoja.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Fedha.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles