Tumzika kwa Amani Boniface John, sisi tulikupenda ila mwenyezi Mungu kakupenda zaidi inauma sana, umeondoka mapema bado mdogo sana lakini hatuna cha kufanya zaidi ya kumshukuru Mungu sababu kazi ya Mungu haina makosa. Tunakuombea upokelewe na upumzike kwa amani. Tunapenda kutoa pole kwa familia yake na kwa dada yake mpendwa Brigitar, Mungu awape nguvu kwa kipind hiki kigumu. BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
↧