Kingoba: JAB kutoa leseni za Uandishi wa Habari za Kidigitali, kulipiwa...
Na Mwandishi Wetu.Bodi ya Ithibati ya Waandishi Habari Tanzania (JAB) imepanga kutoa kadi za kidijitali ili kulinda wanahabari katika suala la utunzaji wa taarifa zao.Kauli hiyo imetolewa tarehe 18...
View ArticleKAMATI YARIDHISHWA NA MRADI WA TAZA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga akielezea mafanikio ya utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ikikagua...
View ArticleTCRA kushirikiana na TBN kusadia kuzalisha maudhui yenye tija
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeahidi kufanyakazi na Mtandao wa Wana Blogu Tanzania (TBN), pamoja na vyama vingine vya waandishi wa habari ambavyo vinawakilisha mahitaji na matakwa ya...
View ArticleINEC YATOA UFAFANUZI WANAOJIANDIKISHA ZAIDI YA MARA MOJA DAR
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
View ArticleTANGA UWASA WAELEZA MBINU ZA KUKABILIANA NA MAJI YANAYOPOTEA
Na Oscar Assenga, TANGA.MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira ( Tanga Uwasa) imebuni mbinu mpya za kukabiliana na maji yanayopotea kila siku ambao utakuwa chachu ya kuwarahisishia kupata taarifa...
View ArticleKamati ya Kudumu ya Bunge yapongeza ujenzi jengo la Wizara ya Nishati Mji wa...
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakikagua ujenzi wa Jengo la Wizara ya Nishati wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa Jengo hilo katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma...
View ArticleMNEC Jumaa Asema Miaka Minne ya Rais Samia Imekuwa ya Mafanikio Makubwa,...
Na Gustaphu Haule, Pwani.MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kupitia Jumuiya ya Wazazi Hamoud Jumaa( MNEC), amesema kuwa miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt .Samia Suluhu...
View ArticleJK AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MPYA WA NAMIBIA NETUMBO NANDI-NDAITWA
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, alikuwa miongoni mwa wageni mashuhuri waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mpya wa Namibia, Mhe. Netumbo...
View ArticleTETE FOUNDATION YAGAWA MAHITAJI KWA WANAFUNZI WALIOPO KATA YA MIONO, CHALINZE...
TETE FOUNDATION kupitia mradi wake wa “TUNAAMINI KATIKA WEWE” wamekuwa wakigawa mahitaji/vifaa vya shule kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wenye uhitaji maalumu kwa kuhakikisha mtoto...
View ArticleBenki ya NBC yakabidhi basi jipya kwa Klabu ya Coastal Union ya Tanga
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC imekabidhi basi jipya kwa Klabu ya soka ya Coastal Union FC ya jijini Tanga inayoshiriki ligi hiyo ikiwa ni mwendelezo wa...
View ArticleINEC YAONGEZA SIKU UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA DAR
Na. Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuongeza siku mbili zaidi za zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dar es Salaam ambapo sasa zoezi...
View ArticleWAVUVI NA WAMILIKI WA VYOMBO VIDOGO WAASWA KUZINGATIA USALAMA WAWAPO MAJINI
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limewaasa wananchi wa wilaya ya Kigoma kuzingatia usalama na utunzaji wa mazingira wanapofanya shughuli za usafiri majini ikiwa ni pamoja na kufuatilia...
View ArticleWANANCHI WA CHAMWINO DODOMA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI MIJI 28
Fundi kutoka Kampuni ya Mkandarasi MEGHA Engineering & Infranstructures Limited (MEIL) kutoka nchini India akisuka nondo wakati wa ujenzi wa tanki la kuvunia maji la lita laki tano (500,000) kwenye...
View ArticleWASHEREHEKEA SIKU YA BRAC KWA KUTOA MSAADA SHULE YA WATOTO YATIMA
Mkurugenzi wa BRAC Tanzania, Joydeep Sinha Roy akikabidhi msaada wa vifaa muhimu na rasilimaliza elimu kwa Mwenyekiti wa Shule ya Bethasadia Raymond Mashary (kushoto) , wakati wa kuadhimisha miaka 53...
View Article‘Lipa ChapChap’: Benki ya Exim Yaja na Mapinduzi ya Malipo Kidijitali
Mkuu wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya Exim, Bw. Andrew Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap,...
View ArticleKAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA KATIBA NA SHERIA YAPITISHA MPANGO NA...
Na Veronica Mwafisi-DodomaKamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imepitisha Mpango na Bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na taasisi zake kwa...
View ArticleWaajiri watakiwa kuithamini taaluma ya Uandishi wa Habari
Na Mwandishi Wetu.Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini wametakiwa kuithamini Taaluma ya Habari kwa kuwalipa stahili zao na mishahara kwa wakati waandishi wanaofanya kazi katika vyombo hivyo.Wito huo...
View ArticleRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein...
Mkurugenzi Mtendaji wa Vidacom Tanzania Philip Besimire akizungumza wakati wa hafla ya Iftaar ya pamoja na Wateja wa Vodacom Zanzibar na Wafanyakazi katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar,...
View ArticleMfumo wa Digitali wa Usajili wa Wanahabari wa Bodi ya Ithibati kukamilika...
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
View ArticleKAMATI YA USALAMA BARABARANI ARUSHA YAKABIDHI VIFAA VYA TEHAMA POLISI ARUSHA
Katibu Mtendaji wa Kamati hiyo SSP. Zauda Mohamed (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari kutoka kikosini wakipokea vifaa vya TEHAMA kwa Mjumbe wa Kamati hiyo Bi. Veronica...
View ArticleBENKI YA CRDB YATAMBULISHA MKOPO WA KIDIJITALI WA 'JINASUE'
Katika mpango wake wa kuongeza ujumuishaji wa wananchi kiuchumi, Benki ya CRDB imezindua huduma ya mikopo ya Jinasue inayowalenga wateja wake wote wenye uhitaji wa fedha.Huduma hiyo iliyozinduliwa na...
View ArticleSimBanking kugawa milioni 240, magari matano kwa wateja wake
Ikizindua msimu wa tano wa kampeni ya yake ya Benki ni SimBaking, Benki ya CRDB imetangaza kutenga zawadi kiasi cha shilingi milioni 240 pamoja na magari matano.Akizindua kampeni hiyo, Mkurugenzi wa...
View ArticleBenki ya Exim Tanzania Yaboresha Uchukuaji Mikopo kwa Watumishi wa Umma...
Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi na wa Kati kutoka Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo (kati) akizungumza wakati wa kutangaza maboresho ya huduma yao ya ‘Wafanyakazi Loan’ ambayo sasa inajumuisha...
View Article'SHUKA DAY' Mkoa wa Manyara waadhimisha miaka minne ya Mafanikio ya Serikali...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga (aliyevaa miwani) akiwa pamoja wa wananchi wa Loiborsiret, Simanjiro wakati wa kuadhimisha miaka minne ya mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita...
View Article"Wakuu wa Mikoa Andaeni Maeneo ya Upandaji Miti" - Msigwa.
Na Mwandishi Wetu - MAELEZO, Zanzibar.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewaomba wakuu wa Mikoa ambao maeneo yao itafanyika...
View Article