SEKTA YA UMMA YAOMBWA KUIMALISHA UBUNIFU KWENYE SAYANSI HAI
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk. Hassan Mshinda (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kwenye semina ya siku mbili iliyohusu...
View ArticleWAZIRI MUHONGO AJIUZULU WADHIFA WAKE LEO JANUARY 24, 2015
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa katika mkutano uliofanyika mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Wizara hiyo,zilizopo kwenye Mtaa wa...
View ArticleWAWILI WATIWA MBARONI KATIKA TUKIO LA UJAMBAZI, DARAJANI, ZANZIBAR
Askari Polisi pamoja na raia waliokuwepo eneo la tukio wakiwa wamemzunguka mmoja wa watuhumiwa hao wa ujambazi baada ya kumtia mbaroni mchana wa leo, katika eneo la darajani Jua Kali, Zanzibar. Mmoja...
View ArticleMABADILIKO MADOGO YA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo ametangaza mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri,ambalo Ameliapisha jioni hii Ikulu, Jijini Dar es Salaam.Akitangaza...
View ArticleMAMA TUNU PINDA AWAASA AKINAMAMA WA KITANZANIA KUJIENDELEZA KIELIMU
Mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania Dokta ASHAROSE MIGIRA akimtunuku shahada ya uzamili ya usimamizi wa miradi mke wa waziri mkuu mama Tunu Pinda katika mahafali ya 27 yaliyofanyika mjini DODOMA...
View ArticleMSIMU WA PILI WA DARASA LA KISWAHILI WAANZA RASMI DMV
Sehemu ya wanafunzi, wazazi, mwalimu na viongozi wa jumuiya waliohudhuria siku ya kwanza ya darasa la Kiswahili DMVAwamu ya pili ya Darasa la Kiswahili kwa watoto waishio Washington DC na vitongoji...
View ArticleTAMASHA LA TIGO MUSIC 'KIBOKO YAO' LAZINDULIWA LEADERS CLUB, DAR
Vanessa Mdee akitoa burudani kwenye tamasha kubwa la kihistoria la Tigo Music Kiboko yao lililofanyika viwanja vya leaders jana. Msanii JUX akitoa burudani kwenye tamasha kubwa la kihistoria la Tigo...
View ArticleMBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA, SHERIA NGOWI AMVALISHA RAIS MPYA WA ZAMBIA...
Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu akiwa amevaa suti maalum (Presidential suit) iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa Kimataifa kutoka Nchini Tanzania Sheria Ngowi akikagua gwaride rasmi kabla ya...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA KUFANYA MALIPO KWA KUTUMIA KADI
Mfanyabiashara na mmiliki wa duka la dawa katika eneo la Mrombo Arusha Bi elizabeth mshana akiongea na Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde juu ya huduma ya kufanya malipo kwa kutumia kadi ya Airtel...
View ArticleMAWAZIRI WAPYA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri na manaibu waziri aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam jioni hii.Wanne kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kulia ni Katibu...
View ArticleMHE. ANGELLAH KAIRUKI AMKABIDHI OFISI MHE. UMMY MWALIMU JIJINI DAR
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki (kulia) akimkabidhi nyaraka mbalimbali Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Ummy Mwalimu wakati akimkabidhi ofisi...
View ArticleWAZIRI LUKUVI AMKABIDHI OFISI WAZIRI MHAGAMA
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi (Mb) (Kulia) ambaye awali alikuwa Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) akifafanua jamabo kuhusu masuala ya Ofisi ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI RIYADH KUHANI KIFO CHA MFALME WA SAUDI ARABIA, KUFANYA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wan Kijeshi mjini Riyadh, Saudi Arabia, asubuhi ya Jumapili, Januari 25, kuhani kifo cha...
View ArticleZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA MIKOANI
Mkurugenzi wa Mikoa na Utawala wa NHC Bw. Raymond Mndolwa(aliyenyosha mkono juu) akiekeza jambo wakati alipokuwa kwenye ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa NHC kwenye mradi wa nyumba za Makazi Wilayani...
View ArticleWAZIRI MAGUFULI AZINDUA MIRADI SITA YA UJENZI WA BARABARA ZA KUPUNGUZA...
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa barabara ya Mbezi mwisho-Goba- Tangi Bovu.Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Magufuli...
View ArticleDEGE ECO VILLAGE YADHAMINI MADHIMISHO YA MIAKA 66 YA UHURU WA INDIA NCHINI...
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Azhar Malik wa mradi wa Dege Eco-Village akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari waliohudhuria maadhimisho ya miaka 66 ya Uhuru wa India yaliyofanyika katika...
View Article