HAPPY BIRTHDAY BW. JUSTO LYAMUYA
Happy Birthday Bw. Justo Lyamuya ambaye ni Mkurugenzi Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mikazi. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa miaka mingi zaidi.Copyright 2007-2014...
View ArticleKAMPUNI ZINAZOWAJIBIKA KWA JAMII KUTAMBULIWA MACHI, 2015
Katibu wa Kamati ya Tathmini wa Taasisi ya Ushauri wa Biashara, Ernest Mwamwaja (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kampuni zinazowajibika kwa jamii...
View ArticleKIJIWE CHA UGHAIBUNI
Kiiwe 2015 from Luke Joe on Vimeo.Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleDRFA YAJA KIVINGINE, YAMTAMBULISHA AFISA HABARI MPYA, YAFUNGUA OFISI
Katibu Mkuu wa Chama cha Soka mkoa wa Dar es Salaam, Sanifu Kondo, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano maalum wa kutambulisha Ofisi mpya ya Chama hicho na kumtambulisha Afisa habari...
View ArticleMAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA WAPEWA MAFUNZO KUHUSU TAKWIMU RASMI
Meneja Tawala wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Gabriel Madembwe (katikati) akiwahutubia Maafisa wa Ngazi za Juu wa Jeshi la Magereza kutoka vitengo mbalimbali vya Makao Makuu ya Jeshi hilo wakati wa...
View ArticleSERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR IMO KATIKA JUHUDI ZA KUHAKIKISHA UWEPO WA...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imo katika juhudi za kuhakikisha uwepo wa madaktari bingwa wa fani mbali mbali...
View ArticleUFUNGUZI WA MAFUNZO KWA WATOA HUDUMA WA MRADI WA KFW JANA WILAYANI KOROGWE
Picha namba 06534 ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani almaarufu Maji Marefu akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya watoa huduma ya mradi wa KFW waliosajiliwa na Mfuko wa Taifa wa...
View ArticleSHEREHE ZA KILELE CHA MIAKA 50 YA CBE ZAFANA ZAONGOZWA NA MAKAMU WA PILI WA...
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema (wa pili kutoka kulia) akiwatambulisha viongozi wa chuo cha CBE kwa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd (katikati) leo...
View ArticleUVCCM ZANZIBAR WAFANYA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO KUUNGA MKONO HOTUBA YA DR.SHEIN
Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano na kufanya mkutano wa hadhara kwenye vianja vya Magogoni Kwa Mabata mjini...
View ArticleMKOA WA MBEYA WAIOMBA IDARA YA MAMBO YA KALE KUWAKABIDHI MAKUMBUSHO YA MAMBO...
Wanahabari wakitazama Kimondo Mwanahabari wa Habari leo Iringa na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa Frank Leonard akitoka kutazama KimondoMgeni akisaini kitabu cha...
View ArticleUKITAKA JUA RAFIKI WAKWELI, NDUGU WA KWELI, JAMAA WA KWELI, JIRANI WAKWELI,...
JIFUNZE. Thamani ya mwanadamu huonekana wakati ule akiwa na mchango katika jamii. Aidha kiuchumi, Kimawazo, Nguvu kazi, Kitaaluma na hata Kimichezo. Lakini kile kilichokufanya uwe na thamani punde...
View ArticleDK. JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA UPATANISHI WA CHAMA CHA SPLM YA SUDAN...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini...
View ArticleINDABA 2015, A PLATFORM TO OPTIMISE AFRICAN TOURISM BUSINESS GROWTH
South African Tourism CEO, Mr Thulani Nzima: “Every single INDABA element must give exhibitors an unrivalled and effective platform to showcase their products and services, and to do business. INDABA...
View ArticleFURAHA YA UTIAJI SAINI MAKUBALIANO YA KUNGANISHA CHAMA CHA SPLM CHA SUDANI...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akikaribisha viongozi na wajumbe katika mkutano huo. Waziri Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa zamani wa CCM Mheshimiwa John...
View ArticleAIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU SHULE YA SEKONDARI KITETO MANYARA
Wanafunzi wa shule ya sekondari kiteto wakionyesha vitabu baada ya kukabithiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel chini ya mradi wake wa Airtel shule yetu wenye lengo la kuchangia katika sekta ya...
View ArticleMAHOJIANO NA JHIKOMAN KUHUSU WIMBO WAKE MPYA...AFRICA ARISE
Karibu katika mahojiano kati ya Mubelwa Bandio na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan aliyejiunga nasi moja kwa moja kutoka Bagamoyo TanzaniaAlizungumzia wimbo wake mpya wa Africa Arise, ambao amemshirikisha...
View ArticleFRIDA FELIX AWEKA HADHARANI HISTORIA YA MAISHA YAKE KIMUZIKI
Mwanasheria na mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Frida Felix kwa mara ya kwanza aliweza kutua katika ofisi ya Rumafrica baada ya kupata mwaliko na utawala wa ofisi hiyo. Ujio wake ulikuwa ni...
View ArticleBUNGE LA TANZANIA KUANZA VIKAO VYAKE JUMANNE JANUARI 27 - FEBRUARI 7, 2015...
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMFALME WA SAUD ARABIA KING ABDULLAH AFARIKI DUNIA
Marehemu Mfalme Abdullah bin Abdulaziz enzi za uhai wake.Mfalme Abdullah bin Abdulaziz akiwa na Rais wa Marekani, Barack Obama.--- MFALME wa Saudi Arabuia, Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia...
View Article