KIJANA NAMKUBALI: NCHIMBI
Agness Alinyikira Mwenda:Kwa kweli shemeji huyu kijana ni mbunifuuuu na anajituma anastahili pongezi.Fadhili Fabian Ngajilo:Huyu na Kanumba wanastahili kuenziwa, wamenipa value sanaa, TZ tunaenzi...
View ArticleYALE YALE: DAR SASA INATISHA SALUNI YA NGONO YAFUMULIWA
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMKUTANO MKUU WA SABA WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE TANZANIA (TAWJA), JIJINI DAR
Jaji Fredrick Wambali akitoa mada katika mkutano huo. Wanachama wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA), wakiwa kwenye mkutano wao mkuu uliofanyika Dar es Salaam jana. Mkutano huo ulihudhuriwa...
View ArticleMBUNGE ABWAGIWA MTOTO KIKAONI DAR
Hawa Kundani (mwenye vazi jeusi), anayedai kuzaa na kutelekelezwa na mbunge wa Dimani, Abdallah Sharia Ameir, akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuvamia kikao cha Kamati ya Bunge ya Katiba,...
View ArticleTIMU YA WATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBEMBELEA KAMPUNI YA KUHUDUMIA...
Meneja wa Huduma za Mizigo, ndege na Abiria wa Swissport, Stella Kitali, akiwaonyesha wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, karatasi inayotumika kuonyesha aina za mizigo inayopakiwa kwenye ndege wakati...
View ArticleMIGOGORO NDANI YA VYAMA YAIKERA OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
Hivi Karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la Migogoro ndani ya vyama vya Siasa. Jambo hili linaleta Taswira mbaya kwa jamii, hasa kipindi hiki ukielekea katika uchaguzi Mkuu wa nchi.Athari za migogoro hii...
View ArticleKISOMO CHA KUMWOMBEA RASHID MKAKILE APONE HARAKA BOSTON, MASSACHUSETTS NCHINI...
Ustadh Hemed (mwenye kipaza sauti) akiongoza kisomo cha kumwombea Rashid Mkakile apone haraka kilichofanyika siku ya Jumamosi Januari 17, 2015 mjini Boston jimbo la Massachusetts, Rashid Mkakile...
View ArticleUFAHAMU MTANDAO WA MALEZI MAKUZI NA MAENDELEO YA WATOTO WADOGO TANZANIA (TECDEN)
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Bruno Ghumpi ---Mtandao wa Malezi Makuzi na Maendeleo ya Watoto Wadogo Tanzania – TECDEN ni chombo kinachoundwa na mashirikia mbalimbali yanayofanya kazi za kuhudumia...
View ArticleHUYU NA YULE... MAHOJIANO NA DR NA MAMA WILLIAMS
Karibu kwenye mahojiano ya Dr na Mama Williams. Waasisi wa AHEAD Inc. Taasisi ambayo iliasisiwa mwaka 1985 na inajishughulisha kubadili maisha ya wengi nchini Tanzania kupitia Elimu, Stadi za Maisha,...
View ArticleUJUMBE WA SIMANZI WA WAUZA ‘UNGA’ CHINA
Mkurugenzi wa Kitengo cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Kamishna Mwandamizi wa Polisi (SACP), Godfrey Nzowa.Na Mwandishi Wetu, Gazeti la Mwananchi.Magareza mbalimbali ya China, Hong Kong na Macau yamefurika...
View ArticleUSIMHUKUMU MTU YEYOTE… SABABU HUYAJUI MAISHA YAKE
Daktari aliingia hospitalini kwa haraka sana baada ya kuitwa kwa shughuli ya Upasuaji wa haraka, alipokea simu haraka, na kuvaa nguo za kazi na kuelekea moja kwa moja kwenye chumba cha upasuaji.Wakati...
View ArticleCXC AFRIKA YAMPIGA TAFU SIBOKA
Msanii wa nyimbo za asili Tanzania Engele Yange anatarajia kurekodi nyimbo yake jijini Mwanza katika Ziwa Victoria ili kuendeleza kutangaza utalii wa nchi. Nyange atakuwa na kundi lake Mjini Mwanza kwa...
View ArticleTUTAKUKUMBUKA DAIMA MZEE WETU, JAMAL SINGOI
Ilikuwa ni tarehe 20.1.2011 majira ya saa 3 asubuhi siku ya Alhamis, marehemu baba yetu mpendwa Jamal Singoi ulivuta pumzi ya mwisho ukiwa mikononi mwangu..nakumbuka kama imetokea jana... siwezi...
View ArticleBARAZA LA WATUMIAJI HUDUMA SUMATRA LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA MIAKA 40...
Afisa wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri akitoa maeklezo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica...
View ArticleDORIS MOLLEL KATIKA UZINDUZI WA BWENI LA KWANZA KWA WATOTO WA JAMII YA...
Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15, Doris Mollel (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati alipohudhuria kwenye hafla ya ufunguzi wa bweni jipya maalum kwa watoto wa jamiii ya hadzabe...
View ArticleAJIRA ZA VIJANA WANAOAJIRIWA KATIKA UTUMISHI WA UMMA ZAONGEZEKA
Ofisa Habari wa Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Kassim Nyaki (kushoto), akizungumza katika mkutano huo.Katibu Mkuu Msaidizi, Idara ya Ajira Ofisi ya Rais Sekretarieti ya...
View ArticleZAINABU 'IKOTA' MHAMILA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Zainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika pozi uku akiwa na keki yakeZainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na rafiki zake siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwaZainabu...
View Article