Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19676 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI 84 UDOM MBARONI KWA TUHUMA ZA KUHAMASISHA MAANDAMANO MKOANI DODOMA

 Baadhi ya Wanafunzi 84 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa kwenye gari ya polisi baada ya kutiwa mbaroni kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni hapo na kufanya maandamano haramu kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAYPORT YAJA NA ‘CHAGUA CHOCHOTE UNACHOTAKA BAYPORT ITALIPIA’

Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo kushoto akizungumza jambo na waandishi wa habari hawapo pichani katika uzinduzi wa huduma mpya ya Chagua chochote Bayport...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESIDENT KIKWETE MEETS MILLICOM INTERNATIONAL CELLULAR EXECUTIVE VICE...

President Jakaya Mrisho Kikwete shakes hands with the Millicom International Cellular South Africa Executive Vice President for Africa, Mr Arthur Bastings, who and his delegation paid a courtesy call...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHEKA UNENEPE; MTAMBUZI WA KUNUSA

Siku moja Mlemavu wa kuona  (Kipofu) aliingia katika mgahawa (restaurant) na baada ya kukaa mezani, baba mmiliki wa mgahawa huo alimfuata na kumuuliza, "nikupe chakula gani au nilete menu uchague...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU WA BOTSWANA MH. FESTUS MOGAE ATEMBELEA TAASISI YA UONGOZI

Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae (kushoto) akipokelewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja pale kiongozi huyo mstaafu alipotembelea ofisi hiyo iliyo chini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumanne jioni January 13, 2014 kwa ajili ya kumuaga baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATOA VITABU VYA SAYANSI SHULE YA SEKONDARI BARIADI SIMIYU

Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto Sima akisoma Hotuba katika makabidhiano ya msaada wa vitabu vya masomo ya sayansi kwa shule ya sekondari Bariadi uliotolewa na kampuni ya Airtel TanzaniaMkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI: KAA CHONJO JALI USALAMA WA MAISHA YAKO

* Usinunue simu za Android kwa mtu usiyemjua. Hiyo ni hatari kwani hujui huyo jamaa kaitoa wapi, mwisho wa siku unapewa kesi ya wizi au mauaji. Inawezekana simu hiyo iliibiwa kwa mtu aliyeuawa.* Usimpe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA WAENDELEA NCHINI UGANDA

Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiwasilisha mada kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THT KUADHIMISHA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA KWAKE, JANUARY 31, 2015 ESCAPE 1, DAR

Meneja Mkuu wa Tanzania House of Talent, Mwita Mwaikenda akizungumza kuhusiana na maadhimisho ya miaka kumi ya THT, kulia ni mwakilishi wa kampuni ya MOSAIC, Deo Masagati ambao ndio wadhamini wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NCHINI ZA NJE AKUTANA NA BALOZI WA...

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress...

View Article


THE BEST OF ERIC OMONDI - JESUS (HILARIOUS)

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YOUTH CAMPAIGNERS MEET VICE PRESIDENT DR. MUHAMMAD BILAL IN DAR ES SALAAM

Vice President of Tanzania, Dr Gharib Bilal answering youth questionsAccording to new research, almost a billion extra people face a life of extreme poverty if leaders do not make key decisions on...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIEGO GUTIERREZ KUONDOKA TIGO TANZANIA NA KUPANDISHWA CHEO MILLICOM

Meneja Mkuu wa Tigo, Deigo Gutierrez (kulia), anayeachia nafasi yake baada ya kuitumikia kampuni kwa miaka mitano, akiwa katika picha na mrithi wake Bi. Cecile Tiano ambaye atakuwa Kaimu Meneja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CHA KWANZA KWA MWAKA HUU WA...

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI SASA KUPATA FILAMU ZA KITANZANIA KUPITIA MTANDAO

Mheshimiwa Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akisoma hotuba fupi mbele za waandishi wa habari na wageni waalikwa waliohudhuria hafla fupi ya Uzinduzi wa Mpango wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA WAATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBELEA KITUO CHA HALI YA HEWA...

Mkurugenzi wa Mradi wa Jengo la Tatu la Abiria (Terminal III), Mhandisi Mohammed Milanga, akiwaeleza wataalam kutoka Wizara ya Uchukuzi, utekelezaji wa ujenzi wa jengo hilo, waliotembelea sehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WATAKIWA KUJITUMA NA KUFANYA KAZI KWA KWA MAENDELEO YAO

Ndugu Elly David Akitoa Mada Kuhusu Vijana kujituma na kufanya kazi kwa Bidii Kwa maendeleo ya taifa.Mtoa Mada huyo amesema kutokana na Ukosefu wa ajira hususani kwa vijana ni vyeme vijana kujituma na...

View Article
Browsing all 19676 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>