Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19676

MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NCHINI ZA NJE AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI

$
0
0
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisisitiza jambo wakati akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress walipokutana kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongozana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15,2015.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchini za Nje na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mh. Mark Childress mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam leo Januari 15, 2015.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19676

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>