Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19676

KAMPUNI YA TIGO YATOA ZAWADI ZA SIKU YA MAPINDUZI KWA WATEJA WAKE ZANZIBAR

$
0
0
Wafanyakazi wa Tigo wakitoa huduma mbalimbali kwa wateja waliotembelea ofisi ya Tigo, Malindi mjini Zanzibar jana.
Ofisa wa Tigo Zanzibar Fredy Mugule akikabidhi zawadi wa Thuwayba Ali kwenye maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi zanzibar zilizofanyika kwenye Duka la Tigo Malindi.
Ofisa wa Tigo Zanzibar, Fredy Mugule akikabidhi zawadi kwa Fatuma Suleiman kwenye maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi zanzibar zilizofanyika kwenye Duka la Tigo Malindi .
Mwakilishi wa jimbo la Wamtipura Zanzibar, Mh.Hamza Hassan Juma (kushoto) akipokea zawadi ya Tigo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Bw. John Wanyancha wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19676

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>