Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing index pages (20620 articles)
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRAMEPRO Yaguswa na vifo vya ajali Morogoro, yatoa Pole

Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limetoa salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao kufuatia ajali za barabarani zilizoripotiwa kutokea mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali, Vodacom Tanzania Foundation Waongeza Upatikanaji wa Mafunzo ya...

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Neema Lugangira (katikati) na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (wa pili kutoka kulia) wakikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vodacom Tanzania yasisitiza Uhusiano wa Kibinadamu katika huduma kwa wateja...

Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto), akikabidhi tuzo ya pongezi kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vodacom Business Yaboresha Uhusiano na Wateja na Kuwawezesha Mawakala

Mkuu wa idara ya mauzo kwa biashara ndogo na za kati Jasmine Makori (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Pius Maswaga wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zawadi ikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali na Wadau waendeleza mikakati ya usawa wa kijinsia na uwezeshaji...

Na WMMJWM, Dar es Salaam.Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Zanzibar kwa kushirikiana na wadau wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Puma Energy yaleta huduma za Pris na Elite Card karibu zaidi kwa Wateja...

Mkurugenzi Mkuu wa Puma Energy Tanzania, Bi. Fatma Abdallah, akiwahudumia wateja na kuwaeleza manufaa ya programu ya PRIS na Puma Elite Card katika kituo cha Puma Airport Service Station. Kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Guinness yaleta Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza Nchini Tanzania

Na Mwandishi Wetu.Dar es Salaam-Tanzania, 9 Oktoba 2026: Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza limewasili Tanzania, kwa mara ya kwanza, likiashiria kuanza kwa ziara yake ya Afrika Mashariki. Kombe hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Samia atuma Salamu za Rambirambi kwa Vifo vya Watu 32 Morogoro

Na Mwandishi Wetu, Morogoro.RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Queen Cuthbert Sendiga, na Mkuu wa Jeshi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uwakilishi wa Wanawake Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walikosa...

Na Ripota wa TBN, Arusha.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Anda Filip, ameipongeza Tanzania kwa hatua iliyopiga katika kuongeza idadi ya ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vodacom yaongeza akiba ya Damu, Benki ya Damu nchini kupitia Wiki ya huduma...

Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Harriet Lwakatare, akichangia damu kwa ajili ya kuongeza akiba ya damu katika Benki ya Damu nchini  na kusaidia kuokoa maisha ya watu wanaohitaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kombe la EPL Kutua Tanzania, Guinness Kuwapa Mashabiki Fursa ya Kulishuhudia...

Mashabiki wa Ligi Kuu ya England nchini Tanzania wanajiandaa kushuhudia tukio la kipekee baada ya Kombe la Ligi hiyo kutua rasmi nchini kwa mara ya kwanza kupitia Guinness, Mdhamini Mkuu wa Bia wa Ligi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Lipo tayari kushirikiana na...

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Ndugu Baraka Leonard, amesema Bunge la Tanzani lipo tayari kujifunza na kushirikishana uzoefu kutoka mabunge mengine Duniani.Katibu wa Bunge ameeleza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chief Justice Masaju Chairs High-Level Panel at SEACJF Conference in Zanzibar

The Chief Justice of the United Republic of Tanzania, Hon. George Masaju sharing experience about Alternative Dispute Resolution (ADR) during the presentation of a topic titled “Court-Annexed ADR as a...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aga Khan yabuni teknolojia ya AI kubaini magonjwa kupitia Sauti ya Kikohozi

 Na Mwandishi WetuCHUO Kikuu cha Aga Khan kimekuja na Kikohozi Classifier, teknolojia inayotumia akili bandia (AI) kuchanganua sauti za kikohozi kwa lengo la kusaidia kubaini magonjwa ya mfumo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Exim Yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026

Wafanyakazi wa Exim Bank Tanzania wakiongozwa na Afisa Mtendaji wa Benki hiyo, Jaffari Matundu, wakishiriki matembezi ya huduma kwa wateja 2026 jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Same yaimarisha Mkakati wa Kukabilianna na athari za El Nino

Na Mwandishi Wetu- Same Katibu Tawala Wilaya ya Same Bi. Mamndolwa Gembe amewataka Kamati ya Usimamizi wa Maafa Wilaya ya Same kuendelea kutoa elimu ya tahadhari kwa wananchi wa maeneo yote ya wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSSSF: Huduma Bora kwa Wanachama Ni Wajibu Wetu

Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Paul Kijazi (Kulia), Akiwasalimia Wanachama wa Mfuko huo wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Garasa ya Laura Pettie yapata saini ya Mwana FA

 Na Mwandishi WetuNaibu Waziri wa Sanaa na Michezo, Mwana Fa, amepokea na kutunukiwa nakala ya riwaya ya Garasa, iliyoandikwa na mwandishi Laura Pettie Kissakwa, katika tukio lililoambatana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Spika Zungu achanguliwa kuwa Rais wa Mkutano wa 153 wa IPU, Arusha

Na Mwandishi Wetu.Katika hali inayoonesha kuwa mataifa makubwa duniani yameendelea kuonesha imani kubwa kwa Tanzania, Spika wa Bunge la Wawakilishi la Uingereza (House of Commons) Mhe. Sir Lindsay...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tulia: Usawa wa Kijinsia Upelekewe Madaraka na Ushawishi wa Wanawake

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na wabunge wanawake katika Jukwaa la Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Oktoba 5, 2026, katika ukumbi wa AICC,...

View Article
Browsing index pages (20620 articles)


Latest Images